Superius Ernest.
TODAYSPRO.BLOGSPOT.COM
UONGOZI mkuu wa hospital ya Aga khan umewahakikishia wananchi upatikanaji wahuduma bora za matibabu ya afya nkuwataka watanzania kuacha kupoteza gharama nyingiza kwenda kutibiwa nchini India.
Akizungumza na waandishi wa habari hospitalin hapo Mkurugenzi wa masoko na mawasiliano Olayce steven lotha amesema huduma zote za matibabu zinapatikana hospitalin hapo kwa sasa kwa muda wowote na kwa wakati wowote kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu
Steven amesema toka kuanzishwa kwa hospitali hiyo ikiwa ni miaka 52 sasa imepita maboresho makubwa yamekuwa yakifanywa katika vitengo mbali mbali vya matibabu kama matibabu ya saratani ya matiti, saratani ya shingo ya uzazi, na matibabu ya moyo.
Alielezea kuwa wanao Madaktari bingwa kutoka nchi tofautitofauti walio bobea kwa vipimo vyote vya matibabu ya afya ambapo sasa wamefikia uwezo wa kulaza wagonjwa 170 tofauti na awali wakati wa uanzishwaji wa hospitali hiyo wakati wa uhuru iliyo kuwa na uwezo wa kulaza wagonjwa 70
Daktaro Harrison chuwa bingwa wa magonjwa ya saratan amesema magonjwa yote ya saratani yanatibiwa hospitalini hapo kwa kuzingatia ubora wa haali ya juu kutokana na mataalamu walio bobea wanao husika matibabu hayo ametaja majonjwa hayo kama saratani ya matiti,saratan ya shingo ya uzazi na saratan ya matiti
Alielezea kuwa wananchi wasiogope gharama kwa ni pamoja na utoaji wa huduma hizo kwa ubora wa hali ya juu lakini gharama zao ndio nafuu kulinganisha na hospitali zingine, lakini amesema gharama za saratanidunian kote zipo juu kulingana na upatikanaji wa dawa zake.
Aliongeza kwa kuwataka watanzania kuacha kupoteza gharama kubwa kwa kusafirisha wagonjwa kwenda nje ya nchi kama india kwa kuamin kuwa wakienda huko watapona magonjwa yao bali amewashauri kufika hospitalin hapo kujionea huduma bora zinazotolewa na kuwa hakikishia kuwa hospitali hiyo inauwezo wa kutoa huduma nzuri kama wanazo zifuata huko india
Daktari Sherin kassamali Mkurugenzi wa huduma za dhalula amesema wanapokea wagonjwa wagonjwa wa magonjwa ya dhalula na kuwa hudumia ulingana na hali ya mtu inavyo kuwa ambapo amesema kumuona daktari sio zaidi ya dakika 20, kama mtu anahitaji kuchunguzwa moyo kuweka chuma katika moyo kifaa cha kuweka dawa kama misuli haionekani.
Steven aliongeza kuwa hospiti hiyo sio hospitali ya matairi kama wengine wanavyo dhani bali amesema wanatoa huduma kwa watu wote bila kubagua na huduma za bure kwa watu wasio na uwezo kabisa pia amewataka wananchi kujitokeza tarehe 29 oktoba 2016 kutakuwa na kampeni ya uchangishaji wa pesa ya kununulia vifaa fursa ya kupima magonjwa bure
itatolewa siku hiyo kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa nne asubuhi.
Naye meneja wa usajiri alitaja matawi yao waliyo nayo hapa nchini kama tawi la Tandika, Mbagala, Tabata, Mickocheni, Mosta,
na kwa upande wa mkoani alitaja matawi ya Dodoma, Iringa, Morogoro, na Mbeya na kusema gharama za kumuona daktari ni 3000 tu.

PICHA: Profile photo: Jengo la hospitali ya Aga Khan jijini Dar Es Salaam. |
Akizungumza na waandishi wa habari hospitalin hapo Mkurugenzi wa masoko na mawasiliano Olayce steven lotha amesema huduma zote za matibabu zinapatikana hospitalin hapo kwa sasa kwa muda wowote na kwa wakati wowote kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu
Steven amesema toka kuanzishwa kwa hospitali hiyo ikiwa ni miaka 52 sasa imepita maboresho makubwa yamekuwa yakifanywa katika vitengo mbali mbali vya matibabu kama matibabu ya saratani ya matiti, saratani ya shingo ya uzazi, na matibabu ya moyo.
PICHA: Baadhi ya madaktari wakiongea na wanahabari juu ya utendaji na mafanikio yanayopatikana kutokana na huduma zinazotolewa katika hospitali ya Aga Khan jiji Dar Es Salaam. |

Post a Comment