PICHA: Mwanariadha kutoka Ethiopia anayeishi nchini uingereza Mo Farah mwenye jacket la bluu bahari akitiwa pingu na askari aliye nyuma yake, pembeni anayelalamika ni mfukuza upepo kutoka nchini Kenya, David Rudisha.
Wanariadha wa kimataifa wa Kenya David Rudisha na mwenzake muethiopia Mo Farah wamekamatwa baada ya kutoka ndani ya nyumba wanazoishi na kuanza kutimua mbio kwa kasi kubwa.
PICHA: Mwanariadha kutoka Ethiopia anayeishi nchini uingereza Mo Farah mwenye jacket la bluu bahari akifunguliwa pingu tayari kwa kupelekwa kituo cja polisi.
Polisi katika eneo la northumbria walipopata taarifa na kuamua kuwafuatilia kujua kisa cha watu hao kutimua mbio kwa kasi, ndipo afisa wa polisi ambaye hakuweza kuwatambua kabla aliwaona wakiwa mbio na kuamua kuwaweka chini ya ulinzi na kuwatia pingu, baada ya kufikishwa kituo cha polisi wanariadha hao ambao wenyewe walidai wanafanya mazoezi.
PICHA: Askari polisi ambaye aliwafuatulia wanariadha hao na kuwakamata akiwa amewaingiza garini tayari kuwapeleka kituoni kwa mahojiano Mo Farah na David Rudisha.
NOTE: Gari ya polisi imeandikwa "PROUD TO SAVE" ikiwa na maana Wanaona 'FAHARI KUOKOA' hii ni mojawapo ya kauli mbiu kwa kila taaaisi kadhaa katika utendaji kuonyesha wao wameegemea wapi.
Post a Comment