0
 Mbunge wa Lindi Mh. Riziki Said Lulida akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Balozi wa Afrka kusini jijini Dar Es Salaam.
 
 Mbunge aliyemaliza muda wake Athuman Mfutakamba akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Balozi wa Afrka kusini jijini Dar Es Salaam.
 Mazungumzo yakiendelea kati ya Balozi wa Afrika kusini nchini Tanzania mh. Thami Mseleku na Mbunge Riziki Lulida.


Baadhi ya Viongozi wa HABARI DEVELOPMENT ASSOCIATION na FRIENDS OF WILDLIFE AND ENVIRONMENT ASSOCIATION walipokutana na.Balozi wa Afrika kusini mara baada ya maongezi ofisini kwa balozi, kutoka kushoto; Leonard Mutani, Mbunge mstaafu Athuman Mfutakamba, Balozi wa Afrika kusini TanzaniaThami Mseleku, msaidizi wa balozi upande wa siasa, Mbunge wa Lindi Riziki Said Lulida, aliyesimama mbele David Mpole, nyuma ni Benard James na Austin Sikwese.


                                                                                                     Picha na Leonard Mutani

Post a Comment

 
Top