TAARIFA KWA UMMA: Upepo mkali na mawimbi makubwa Baharini na Ziwani. 0 3:19:00 PM A+ A- Print Email Kutokana na hali ya hewa kuwa ya kubadirika, mamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa vinavyotarajiwa katika pwani ya bahari ya Hindi pamoja na Ziwa Victoria.
Post a Comment