0


Mshindi wa tuzo na Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Oludemile Martin Alejo au kwa jina la kisanii ‘YCEE’ mwenye rasta kushoto ambaye anatarajia kutoa burudani hapa nchini katika ziara yake barani Africa, akitoa hundi ya Tshs mil 1,000,000 kwa Mkurugenzi wa Kigamboni Coummunity Center, kwa lengo la kusaidia jamii hiyo.

Post a Comment

 
Top