ARUSHA.
Serikali
imekanusha malalamiko yaliyolipotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini
kuhusiana na mwekezaji anayemiliki kiwanda cha sukari ambacho awali kilikuwa
mali ya seriakali kilichopo Muhonda mjini Zanzibar akidai amezuiliwa kuuza
sukari yake Tanzania Bara.
![]() |
PHOTO:
Msemaji wa serikali ambaye pia ni mkurugenzi wa idara hbari ya maelezo Dkt.
Hassan Abbas akiongea kuhusu suala la sukari.
TODAYS NEWS tumekuwekea habari kwa undani ambapo
msemaji wa serikali Dkt Hassan Abbasi akiwa jijini Arusha ameongea na
wanahabari, kupitia habari video hii hapa habari kwa undani…
Post a Comment