ARUSHA.
Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya fedha na mipango kuhakikisha wanakamilisha mapema sera yaTaifa ya Ununuzi na ugavi ya Umma kwa kufanya marekebisho kwenye baadhi ya vipengere vya sheria, kanuni na kifuata taratibu zingine zikakazoweza kutoa muelekeo wa eneo pana la manunuzi kwa umma nchini.
Aliyasema hayo alipokuwa akifungua kongamano la siku mbili l du wa Taifa wa ununuzi na ugavi linalofanyika jijibi Arusha, ambapo pamoja na wadau kutoka hapa nchini pia lilishirikisha wadau kutoka nchi ya jirani ya Kenya ambao waliweza kutoa mada.
Hapa chini TODAYS NEWS tumekuwekea baadhi ya picha katika matukio kadhaa ambayo camera yetu iliyanasa.
|
PHOTO: Makamu wa Rais Samia S. Hassan (kushoto) akisalimiana na Waziri wa fedha Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika viwanja vya AICC jiji Arusha. |
|
PHOTO: makamu wa Rais Samia S. Hassan (kushoto) akisalimiana na mwenyekiti wa bodi ya PSPTB Dkt.Hellen Bandiho (kulia) na katikati ni waziri wa fedha na mipango Pholip Mpango. |
|
PHOTO: Makamu wa Rais (kushoto) akiweka kumbukumbu (sahihi) kwenye kitabu cha wageni, anayemtizama ni Mkuu wa itifaki wa AICC Fred Maro. |
|
PHOTO: Baadhi ya Wadau wa mkutano wakifatilia kinachoendelea kwa umakini. |
|
PHOTO: Msimamizi wa ratiba na kongamano Shamim Ally akitoa maelezo wakati wa kuwakaribisha wadau kabla ya ufunguzi rasmi. |
|
PHOTO: Makam wa Rais Samia Suruhu akisalimiana na Mkuubwa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo (kulia) mara baada ya kuwasili ukumbini. |
|
PHOTO: Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Anna Mghwira akisalimia hadhara ya kongamano wakati wa ufunguzi. |
|
PHOTO: Waziri wa Fedha na mipango Philip Mpango (kulia) akitoa hotuba kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muunganobwa Tanzania Samia Hassan. |
|
PHOTO: Makamu wa Rais Samia Suruhu Hassan akitoa hotuba ya ufinguzi ambapo alitoa kauli iliyobeba habari hii hapo juu. |
|
PHOTO: Picha ya pamoja ya viongozi wa PSPTB na Mh. Samia, Wakuu wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro baada ya hotuba ya ufunguzi. |
|
PHOTO: Mh. Samia Suhuru Hassan akiongozana na viongozi wa PSPTB mara baada ya ufunguzi wa kongamano. |
|
PHOTO: Viongozi wa PSPTB wakimuaga mh. Samia Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akiondoka kwenye viwanja vya AICC kuelekea Dodoma. |
Post a Comment