ARUSHA.
Semina ya siku tatu ya wadau wa
Bima Barani Afrika iliyotamati hivi karibuni jijini Arusha ambapo wadau hao kutoka nchi
ishirini za afrika wamekubaliana mambo kadhaa watakayofanyia kazi ndani ya mwaka
mmoja hadi pale watakapokutana kwenye mkutano mwingine unaotarajia kufanyika
nchini Ghana.
Akizungumza na wanahabari mara
baada ya semina na majumuhisho yaliyotokana na semina hiyo, kamishina mkuu wa
Bima nchini Dkt. Bagayo Saqware pichani juu amesema, shirika la Bima lina jukumu kubwa la
kusimamia maslahi ya watumiaji wa Bima, lakini kupitia semina hiyo iliyokuwa na
lengo mahususi kupeana uzoefu ili kuboresha na kukuza Bima kwenye nchi za Afrika.
Habari kwa undani juu ya alichozungumza Kamishina mkuu wa Bima kwa undani Dkr. Saqware, tumekuwekea mwanzo wa ukurasa wetu upande wa kulia wa TODAYS NEWS HABARI.
Post a Comment