0
ARUSHA.
Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Alkael Mbowe ametoa msimamo wa chama hicho kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi wa kata tano wilayani Alumeru kutokana na kadhia za kupigwa, kutekwa na wengine kujeruhiwa kwa wanachama wa chama hicho waliokuwa kwenye ujazaji wa fomu na baadaye wakiwa kwenye kampeni za chama hicho.

Jumla ya kata 43 nchi zima zipo katika uchaguzi mdogo na kati ya kata hizo kata 5 ni kutoka wilaya Arumeru mashariki.



>>Hii hapa taarifa kamili kwa katika habari iliyo kwenye ukurawa wetu wa HABARI VIDEO.



Post a Comment

 
Top