Baada ya taarifa kadhaa kuhusu Afya ya mbunge wa singida mashariki kutolewa kuwa inaendelea kuimarika, jana na leo imepatikana picha inayomuonyesha akiwa mwenye furaha huku mkewe akiwa pembeni.
Hatukusita kukusogezea hapa chini moja ya picha hizo....
Post a Comment