0
Kuna watu wanasema "Magonjwa kaumbiwa binadamu" lakini hata wanyama, mimea, wadudu nk pia upatwa na magonjwa hali kadhalika maisha yanaposonga mifumo inabadirika na kupelekea mabadiriko ya miili kiafya.

PHOTO: Hizi ni Sehemu zinazohathiliwa na ugonjwa.
Mmoja wa wataalam wa Afya Dr. FC Penal kupitia TODAYS NEWS anapemda ujifunze kujikinga na hatari inayoweza kukukuta gafla kutokana na Shambulio la Moyo, CARDIOLOGY IN TOUCH.**

TEMBEA NA SOMO HILI:
Chukulia ni muda wa saa 1:25 jioni unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.

Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kama km5 tu kufika Hospitali iliyo karibu na kwako.

Bahati mbaya hujui kama utaweza kufika kwa unavyojisikia. Ulishafundishwa kumfanyia mtu CPR, lkn aliyekufundisha hakuwaambia unaweza kujifanyia mwenyewe.

JINSI YA KIJISAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO.

Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.

*Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila anapojikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.
Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.

*Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kuubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.


Dr. FC Penal - Cardiologist. 

Post a Comment

 
Top