PHOTO: (Left) John Thornton (Right) Rais Dr. John Magufuri. |
Rais john Pombe Magufuri amekutana na Mwenyekiti Mtendaji ambaye tunaweza kumuita Mshirika huru wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold Cooperation ambaye pia ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya ACACIA ikulu jiji Dar Es Salaam mapema leo.
Post a Comment