Profile PHOTO: Rais John Magufuri.
|
DAR ES SALAAM.
Kufuatia mwenendo
uliokuwa unatia wasiwasi kuhusu maendeleo ya ustawishaji wa Makao Makuu ya nchi
pamoja na kuwepo kwa mkanganyika wa utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuwepo
mgongano uliokuwepo kwenye utendaji wa Manispaa na CDA, Rais Magufuri amevunja
Mamlaka ya Ustawishaji wa Mako Makuu ya Dodoma na kuhamisha utendaji mpaka
Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.
Taarifa kamili hii hapa
kutoka Ikulu…………….
Post a Comment