0

PHOTO: Abilia wakiingia kwenye Mojawapo ya kivuko kipya ambacho kimefanyiwa majaribio kwa kuvusha abilia kutoka Upamde wa Ferry kwenda Kigamboni kijini Far Es Salaam.

Hii ni mojawapo ya utekelezaji wa uboreshaji wa usafiri wa majini hasa katika sehemu ambazo zimekuwa zikihitaji vivuko ikiwa ni kwenye bahari,  mito na maziwa nchini. 

Post a Comment

 
Top