Taarifa tulizozipata
muda mfupi kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ni kuwa Rais wa JMT Dr. John Pombe
Magufuri amefanya mabadiriko katika Jeshi la Polisi nchini, ambapo amemteua Kamanda
wa Polisi wa kanda maalum ya Dar Es Salaam Simon Siro na kuwa Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini (IGP).
Taarifa kamili hii hapa
kama ilivyotolewa na Ikulu jioni hii…
Post a Comment