MTWARA.
Benki ya CRDB PLC tawi
la Mtwara imefanya mkutano na wanahisa wa benki hiyo kwa mkoa wa mtwara na wilaya
zake ikiwa ni sehemu ya mafunzo kwa wanahisa hao kuweza kutambua namna ya
kufuatilia na kujua wapi wanapoelekea
kutokana na ununuzi wa hisa za benki hiyo.
Akifungua mkutano huo
uliowakutanisha wanahisa kutoka wilaya kadhaa za mkoa huo ambazo zina wanahisa,
meneja wa CRDB tawi la Mtwara Francis Kasoyaga ametanabaisha jinsi gani
mwananchi anaweza kupata faida inayoweza kumsaidia wakati wowote kutokana na
ununuzi wa hisa hasa za benki hiyo.
![]() |
Baadhi ya wanahisa wa Benki ya CRDB kwa matawi ya
Mtwara wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CRDB waliokaa akiwepo Mkurugenzi
wa CRDB Mtwara Francis Kasoyaga wa pili kutoka kulia waliokaa.
|
Hapa chini TODAYS NEWS tumekuwekea
taarifa kamili pamoja na nini Mwananchi unatakiwa kufanya unapotaka kufanya maamuzi ya kununua hisa na kuhusu mkutano huo katika Habari video……


Post a Comment