0

PHOTO: rais Magufuri (kushoto) akiongea na viongozi wa TUCTA ikulu jijini Dar Es Salaam. 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuri amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa shirikisho la vyama vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA) katika ikulu ya Dar Es Salaam mapena leo.

Katika mazungumzo hayo,  Rais amesema,  serikali yake inawapenda wafanyakazi,  inawajali na ipo tayari kuboresha maslahi yao huku akiwataka wafanyakazi watangulize maslahi ya Taifa kwanza.

Nao viongozi hao wa Tucta walimhakikishia Rais vyama vya wafanyakazi vitafanya kazi bega kwa bega na serikali katika kusinamia haki na uwajibikaji wa wafanyakazi ili kuleta tija kwa taifa.

Post a Comment

 
Top