TODAYS NEWS tunakuketea picha cha he wakati Rais Magufuri alipofungua rasmi matumizi ya mabweni mapya pale chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
PHOTO: Rais Magufuri akifungua moja ya kabati zilizopo katika mabweni mapya ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam upande wa Mlimani. |
PHOTO: Jaji mstaafu na aliyewahi kuwa waziri mkuu Joseph Warioba akiwa mmojawapo wa viongozi walioambatana na Rais katika ufunguzi huo, hapa akikagua vitanda katika mabweni hayo. |
PHOTO: rais Magufuri akitizama mabakati yaliyopo katikaoja ya vyumba vya mabweni hayo mapya. |
PHOTO: Rais magufuri kulia akifurahi jambo na viongozi kadhaa alioongozana nao akiwepo First Lady mama Janet Magufuri wa pili kulia ndani ya moja ya vyumba vya mabweni hayo. |
PHOTO: Rais Magufuli akiteta jambo na jaji Joseph Warioba mara baada ya kutoka ndani ya mabweni. |
PHOTO: Picha ya mapoja kwa viongozi waandamizi wa serikali na chuo kikuu cha Dar Es Salaam kwenye eneo la mabweni mapya ya UDSM Mlimani. |
Picha zote na jamii forum.
Post a Comment