Serikali kupitia kwa waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe amesema kuanzia mwezi wa tano (Mei mosi) mwaka huu hakuna kufunga ndoa mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa kinachotolewa na wakala wa serikali Usajili RITA.
Waziri Mwakyembe ametoa kauli hiyo ambapo amesisitiza kuwa wa wale wote wanaohusika kufungisha Ndoa wasitishe mara moja mpaka pale mambo ya msingi yatakapotekelezwa kwa wahusika, kwa wanaotaka kufunga Ndoa, na hili linahusu Ndoa za aina zote kama Kimila, serikali, kidini, nk ....
TARIFA KAMILI ITAKUJIA HAPA HAPA TODAYS NEWS.

Post a Comment