0
Hivi karibuni Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alitoka mahabusu alikokuwa amesbikiliwa kwa muda wa takribani miezi minne kutokana na kutumia lugha ya uchochezi kwa kiongozi mkuu wa nchi. 

Mara baada ya kuachiwa kumekuwepo na watu mbalimbali wanaomtembelea ambapo leo msanii wa sinema/filamu nchini ambaye hivi karibuni amejiunga na Chadema Wema Sepetu akiwepo mbunge mmoja kutoka kenya walitua nyumbami kwa mbunge huyo Njiro jijini Arusha.

Hapa chini TODAYS NEWS imekuwekea picha (baadhi) 5tu tulizonasa.

PHOTO: Wema akiongea na wana habari ambapo aliongea kuhusiana na matatizo aliyokumbana nayo njiani akielekea jijini Arusha. 

PHOTO: Wema akiwa na wapenzi wa Chadema walifika nyumbani kwa Lema Njiro jijini Arusha wakionyea ishara inayotumiwa na chama hicho.

PHOTO: Wema akipiga picha kwenye (old school car) nyumbani kwa Lema jijini Arusha.

PHOTOWema akiwa na Lema kulia nyumbani kwake ambapo nyuma ni magari ya mbunge huyo.
.

PHOTO: Wanahabari (waliosimama) wakichukua story kwa Mbunge kutoka nchini kenya ambaye alijumuika kufika nyumbani kwa mbunge huyo jijini Arusha.

Post a Comment

 
Top