Maisha yanapokuwa mujarabu kwa mtu kuwa na furaha hali hiyo inatokana na vile alivyoamua kuishi
na yawezekana ni kutokana na usanifu wa njia za kuingiza kipato ambazo kwa mfumo
wa maisha uchangia kumfanya mtu kuamua
kufanya jambo lolote analoona nafsi yake itapata furaha baada ya kuamua
kulifanikisha.
Wiki hii limetokea tukio
ambalo kwa watu wengi linaweza kuwa jambo la kustaajabisha kutokana na mazingira
yake na unaweza kuliweka katika sehemu ya ubongo wako na kujiuliza nini sababu
au kwa nini kufanya uhamuzi huu au je hawa wanawale walikuwa wanafahamiana
wakati tukio hili la Ndoa linaenda kutukia?
Hayo ni baadhi ya maswali
ambayo msomaji unaweza kuwa na moja ya swali katika hayo, lakini je swali la
pekee linaweza kuwa ni hili, ni wapi Ndoa hizo zimefungwa, Kanisani, Msikitini
hama kwa mkuu wa mkoa, wilaya?
Yoyote kwa yote NDOA zimefanikiwa
kufungwa ikianza na Jumamosi na nyingine Jumapili iliyopyata.
TODAYS
NEWS tumefamikiwa kupata baadhi ya matukio kupitia
picha zilizonaswa kutoka katika mitandao tofauti.
![]() |
PHOTO: Javan ambaye kwenye magari
yake ameweka nambari za jina lake akiwa na kwenye ukumbi wa sherehe na mmoja
kati ya wake zake wawili.
|
PHOTO:
Kulia na kushoto ni kadi
mbili tofauti za mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki waliohudhulia sherehe
hizo mbili tofauti kwa siku mbili zilizofuatana.
|








Post a Comment