Hatimaye mgombea
aliyekuwa na changamoto kadhaa kuwania kiti cha urais wa chama cha wanasheria
nchini (TANGANYIKA LAWS SOCIETY) Tundu Lissu hatimaye amechaguliwa kwa kura zipatazo
1411 sawa na kuwatupa wagombea wenzake wanne ambao {kura zao kwenye mabano} ni Godwin
Mwapongo (23), Francis (64), Victoria Mandari (176) na Tundu Lissu (1411).
Hapa chini unaweza kuhabarika kwa video yenye matokea kamaili....
Post a Comment