0
DAR ES SALAAM.
Habari ya iliyopo na yenye nguvu kwa sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuri amefanya mabadiriko madogo kwenye baraza la mawaziri katika mabadiriko hayo amemteua waziri mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, … TODAYS NEWS tumekuwekea taarifa kamili kutoka Kurugenzi ya habari ya Rais hapa chini.







UPDATES:
Kupitia akaunti yake ya Twitter nape ameandika;
"Ndugu zangu naomba TUTULIE! Leo mchana nitakutana na Wanahabari na tutazungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwa sasa naomba TUTULIE."

Kauli ya nape inakuja muda mfup baada ya Rais Magufuri kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri aliyokuwa amesimamia kwa muda wa mwaka mmoja na miezi kadhaa na sasa Raia amemteua Waziri wa Katiba na sheria Dkt. Harrison Mwakyembe kujaza nafasi hiyo.

Na kwa nafasi ya Dkt Mwakyembe inajazwa na Prof. Palamagamba Aidan Kabudi ambapo wanatarajiwa kuapishwa kesho Ikulu jijini Dar Es Salaam.


Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top