![]() |
| PROFILE PHOTO: MP godless Lema. |
Mahakama kuu kanda ya Arusha mjini inatarajia kusilikiza maombi ya rufaa ya dhamana ya mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema siku ya mwezi ujao siku ya ijumaa machi 03 2017 mbele ya Jaji Magimbi.
Baada ya jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa kutoa karipio kali siku ya Jana dhidi ya ofisi ya dpp baada ya mawakili wa upande wa Jamuhuri kuondoa rufaa yao mahakama hiyo ya rufaa ilitoa uamuzi kwamba kesi hiyo irudishwe mahakama kuu ili iweze kumpa dhamana Mbunge huyo.

Post a Comment