0
Mapinduzi ya mageuzi ya binadamu yanaonyesha kuwepo kwa tukio kubwa katika maendeleo ya binadamu, katika kujua na kuchunguza aina ya homon na sapiens zinazotokana na mageuzi yanayosemwa kuwepo kwa mababu zetu, yamefanya mpaka sasa kuna watu wanaamini na kutaka kuendelea kuaminisha hadhira ya mwanadamu kutokea katika eneo hili.
Pamoja na maelezo mafupi au marefu yanayoweza kutolewa ili kuharalisha mapinduzi/mageuzi haya, baadhi ya aina, genie yenye kiasi kikubwa cha kuweza kutoa uhalali wa human revolution, kuonekana huko bado hakujaleta uhalali kwamba mababu walitoka katika sokwe hakufanyi uwezekano wa binadamu kuwa wa kisasa ni mapinduzi ya mageuzi hayo. 


Kuna aina mbalimbali za Hominina, subtribe ambao kwa karibu wanahusiana na mababu kwa binadamu wa sasa, species zilizotoka kwa wahenga kama sokwe, wote pamoja na binadamu wameonekana kuwa ukoo mmoja na kwamba kumekuwepo na uwezekano kwenye kipindi cha miaka miwili ya kwanza ya maisha ya mageuzi ya mwanadamu.


Hali hii inaelekea kuweka imani ya wanaoamini kuwa wameumbwa na Mungu kuwa si sahihi huku upande wa pili wa elimu ukipewa nguvu kuwa mwanadamu katokana na sokwe. Mpaka mwanadamu anaweza kujitambua katokana na kuumbwa na Mungu ni kutokana na akili na ufahamu kuwa wa juu na kujitambua kuwa hasingeweza kutoka kwa nyani au sokwe.





Imeandaliwa na Leonard Mutani 0773036064


Post a Comment

 
Top