0
Moja ya habari ambayo utakuwa umeisoma juu juu kupitia mitandao ha magazeti au hujafanikiwa kuisoma popot ni hiiya mbunge Lisu ambayo nakuwekea hapa.
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amekamatwa na polisi akiwa nje ya Bunge mjini Dodoma hapo jana.

PHOTO: Profile Tundu Lisu

DODOMA.
Taarifa iliyotolewa na Chama chake cha Chadema imesema hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi huyo.

Wakili wake Peter Kibatala amelisema kuwa askari polisi kadhaa wakiongozwa na aliyetambuliwa kama mkuu wa upelelezi wa Mkoa wa Dodoma ndiyo waliokiwepo, hata hivyo Kibatala amedai kuwa mteja wake hakuonyeshwa hati inayotoa amri akamatwe.

Wakili huyo amesema kuwa aliwasiliana naye mara baada ya kukamatwa ambapo badaye alisafirishwa na kupelekwa jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment

 
Top