0
Mgawanyiko wa itikadi uliosababishwa na kuporomoka kwa mnara uliokuwa unajengwa eti kumfikia Mungu (tunasoma kwenye maandiko) ambao wakati wakiendelea kuujenga ilifika mahali lugha zikagongana badala ya samaki mtu anampelekea mwenzake nyoka na badala ya mkate mtu anapeleka jiwe.


PROFILE PHOTO: Aina ya miyoo...


Hali hiyo ilisababisha mgawanyiko na watu kujitenga kimakundi kuyokana na kuelewana na mwenzake na si mwingine.

Hapa chini ni taarifa ya mwandishi wa idhaa ya kifaransa ya 24france ambaye ameleta ripoti ambayo siwezi kuongeza kitu ila fungua na isogeze machoni pako, ...





Post a Comment

 
Top