Taarifa tulizozipata jioni hii zinasema kuwa aliyewahi kuwa waziri mkuu na mgombea wa kiti cha urais nchini,
Peofile photo: Mh. Edward Ngoyai Lowassa. |
... kupitia umoja wa vyama vinavyounda UKAWA Mh. Edward Lowassa amekamatwa na yupo katika kituo cha polisi mjini geita kwa mahojiano zaidi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo alikiri kumshikilia kiongozi huyo.

Taarifa kutoka eneo la tukio anasema Mh Lowassa alikuwa njiani kwenda katika Kampeni kwenye kata ya Nkome Geita Vijijini.
Mbali na Lowassa pia Polisi inamshikilia Mbunge wa Viti Maalum Geita, Upendo Peneza na watu wengine kadhaa ambao walikuwa kwenye msafara mmoja na kiongozi huyo wa Chadema.
Viongozi hao walikuwa wakielekea kwenye kampeni zinazoendelea katika baadhi ya majimbo yanayorudiwa uchaguzi ambapo aliamua kusimama na kuwasalimia wananchi ndipo baadaye polisi walifika na kuondoka naye kwa.

Post a Comment