0

DAR ES SALAAM.
Mstahiki meya wa jiji la Dar Es Salaam Mh. Isaya Mwita ametoa onyo kwa kampuni ziliyopewa tenda ya kukusanya ushuru na mapato na Halmashauli ya jiji yatokanayo na uegeshwaji wa magari, pikipiki na bajaji jijini Dar Es Salaam kufuata sheria ikiwa ni sehemu ya kupunguza uvunjifu wa sheria pamoja na malalamiko yatokanyo na wananchi kuharibiwa na kufungiwa magari yao.

Kwa habari zaidi kuhusu tamko hilo tumekuwekea katika taarifa ifuatayo hapa chini…


Post a Comment

 
Top