Mdudu aina
ya nyoka akiwa ametengeza makao kwenye moja ya mboga zinazopendwa sana kuliwa
zikiwa mbichi.
TODAYS NEWS
Watu wengi wamekuwa wakijaribu kuwa na mfumo unaweza
kuwapelekea kula mboga kwa wingi ikiwa ni njia ya kuongea kinga pamoja na
chembechembe nyeupe za damu ambapo wataala, wanasema ni mboga za majani ndizo
zenye uwezo wa kumpa mtu nafasi ya kuongeza hivyo vitu.
Baadhi na aina ya bakteria wamepatikana kwenye saladi mbichi
ambayo haijakatwa na ambayo inaweza kuwa
ni vigumu kuwaua, uchunguzi umeonyesha baada ya kuzuka kwa magonjwa waliohusishwa
kula saladi mbichi na kupelekea kuathiri karibu watu 300 nchini Uingereza na
Scotland kwa mwezi Mei.
"Mboga za
majani ni nzuri na salama kwa afya kama tu itapikwa katika uhasili na njia za kawaida
ikiwemo ya kuchemsha hapo ndipo uweza kuua wadudu waliomo, lakini hatari huja
tu wakati inapoliwa ikiwa mbichi.”
|
Post a Comment