![]() |
Nembo
inayoitambulisha sinema ya STAR WARS ambayo marehemu
Princess Leia alimaarufu Carrier Fisher aliigiza humo. |
MAREKANI. Wapenzi wa filamu na wale mnaofuatilia sinema
duniani na hasa sinema maarufu ya VITA
YA NYOTA. Mwigizaji
filamu na mwandishi bora Carrier Fisher ambaye alipata umaarufu wakati
alipocheza kama Princess Leia kwenye filamu inayojulikana kwa jina la ‘Star Wars’, msanii
huyo alilazwa hospitalini Desemba 23 mjini Los Angeles baada ya kupatwa na shinikizo la moyo.
Carrie
Fisher ambae alipata umaarufu wa kimataifa kwa kucheza nafasi ya Princess Leia
kwenye filamu ya Star Wars amefariki dunia Jumanne ya wiki hii akiwa na umri wa
miaka 60. Carrie
Fisher ambae alipata umaarufu kimataifa kwa kucheza nafasi ya Princess Leia
kwenye filamu ya Star Wars,
Carrier alipata shinikizo la moyo wiki iliopita akiwa kwenye ndege kuelekea Los
Angeles dakika 15 kabla ya kutua.
![]() |
Huyu ndiye mwandishi
bora na muigizaji wa filamu nchini Marekani aliyefariki
kutokana na shinikizo la moyo hapo jana Carrier Fisher. |
Daktari aliyekuwa kwenye ndege hiyo alimpa huduma ya
kwanza hadi pale alipopelekwa hospitalini baada ya ndege kutua ambapo kufikia
Jumapili familia yake ilisema kuwa hali yake ilikuwa imeimarika. Hata hivyo
Jumanne bintiye Billie Lourd alitoa taarifa kupitia msemaji wake kuhusu kifo
cha Fisher.
Ukiacha filamu ya Star Wars aliyoigiza Princess Leila pia atakumbukwa kutokana na kumudu kucheza kwenye filamu kama Austin Powers, The Blue Brothers, Hannah and Her Sisters na When Harry Met Sally.
Ukiacha filamu ya Star Wars aliyoigiza Princess Leila pia atakumbukwa kutokana na kumudu kucheza kwenye filamu kama Austin Powers, The Blue Brothers, Hannah and Her Sisters na When Harry Met Sally.


Post a Comment