1
Mmoja kati ya wahendeshaji wa mtandao wa jamii forums Maxence Melo  akitoa mada kabla ya kuanza kuanza mijadara, anagusia changamoto zinazopatikana kwenye mitandao ya kijamii hususani waandishi wa habari za mitandao//Bloggers.

Kaimu mweneyekiti wa muda wa chama cha Bloggers Tanzania Joachim Mushi (aliyesimama) akiongea wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi (kushoto aliyekaa)Mkurugenzi wa Habari Maelezo Hassan Abass wakati wa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama.
Mkurugenzi wa Habari Maelezo Hassan Abass akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa waandishi wa habari kwa mitandao/bloggers wa chama pamoja na mafunzo.

Wanachama na waandishi/bloggers wakimsikiliza Maxence Melo kulia alipokuwa anatoa maelezo juu ya sheria inavyoweza kutumika pamoja na wasomaji wa mitandao hiyo wanachotaka kutoka kwa media yako.
Samwel Malecela (Le Mutuz Nation) ambaye ni mmoja kati ya waandishi wa mitandao ya jamii ya Le Mutuz Nation akitoa mawazo juu ya serikali kuwa wazi katika utoaji wa taarifa zake ikishirikisha waandishi wa media kama Bloggers.

Picha ya pamoja baadhi ya waandishi/wamiliki ambao ni bloggers wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkurugenzi wa habari maelezo Hassan Abbas aliyekaa mstari wa katikati aliyevaa kaunda suite. 
Picha zote na Leonard Mutani.



HABARI KWA UNDANI:

Chama cha wamiliki wa bloggera nchini Tanzania wamefanya mkutano mkuu wa mwaka 2016 wenye lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazohusu mitandao ya kijamii, uendeshaji na uhandishi katika mitandao kwa ujumla.

Katika mkutano huo ambao mgeni  rasmi aliyefungua mafunzo hayo ya siku mbili yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam na mkurugenzi kutoka Habari Maelezo Dkt Hassan Abass ambaye amesema kuwa bloggers ni chombo rasmi cha habari kama vilivyo vyombo vingine vya habari na watu zaidi ya bilioni 3.5 duniani wanalishwa habari kwa sehemu kubwa kupitia chombo hiki.

Pia amesema ili habari iweze kuwafikia jamii kwa haraka, mara nyingi wanatumia waandishi wa mitandao (bloggers) kwani ni chombo cha habari namba moja, hivyo ameongeza kuwa serikali kwa sasa inatambua waandishi  kwa njia ya mtandao.

Amewataka bloggers kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya habari, kwa ukweli na usahihi, huku wakitabua kuwa bado wanachokiandika kinaleta manufaa kwa jamii nzima na ndipo jamii itaendelea kuwaheshimu zaidi.

Kwa upande wake mwenyekiti wa muda wa chama cha bloggers nchini Tanzania Joakimu Mushi amesema kauli mbiu ya mkutano huo ambayo ni ”mitandao ya kijamii ni ajira itumike kwa manufaa” amewataka wanachama wote kuweza kujikita kutoa habari na kujikita kutambua chama kama sehemu ya nafasi katika utendaji wa kila siku.


Dkt. Hassan Abass amesema; “kuanzia sasa  chombo chochote cha habari hususani magazeti yanapotumia picha hama habari iliyotoka kwenye mtandao wa kijamii kama (blogs) pasipo idhini ya mwenye mamlaka nayo kusitisha mara moja hama sheria ya hakimiliki itatumika.”

Post a Comment

  1. i want to share my testimony of how i become rich and famous today… i was deeply strangled up by poverty and i had no body to help me, and also i search for help from different corners but to no avail… i see people around me getting rich but to me i was so ashamed of my self so i met a man on my way he was very rich and he was a doctor so he told me something and i think over it though out the day so the next day i looked up and i keep repeating what he said to me. ” if you want to get rich quick and be famous” you need to cross your heart and do what is in your mind so i tried all i could in other for me to do as he said so later on i told my fellow friend about this same thing then my friend was interested in my suggestions so i decided to look in the internet and i found their number so we decided to contact them and unfortunately we did as they instruct us to do and later they told us to get some requirements and all the rest… so this initiation took us just a week and later on the great fraternity gave us $1,200,000 to start up our lives…. and now am testifying that if in any case you want to join any great fraternity all you need to do is for you to contact them because they are legitimate and they do as what they instructed them to do, so you can as well WhatsApp me +2348106618681 or for more information +1(705)8062021 you can Email: illuminatipowerful666@gmail.com...

    ReplyDelete

 
Top