Dr. Samwel
Nyantahe Mwenyekiti wa shirikisho la wenye viwanda nchini Tanzania, akiongea na
wawekezaji juu ya nafasi ya kuwekeza kupitia viwanda.
|
Baadhi ya
wawekezaji waliohudhulia mkutano huo mkubwa wa uwekezaji wakisikiliza wadau
wengine (hawapo pichani) ni mahusiano yanayopatikana katika uwekezaji nchini.
|
Baadhi ya
wawekezaji waliohudhulia mkutano huo mkubwa wa uwekezaji mara baada ya
mapumziko ya asubuhi wakiwa katika picha ya pamoja (wa pili kulia) Mkurugenzi
mkuu wa PLASCO LTD
|
Mkurugenzi mkuu wa
Seven Brands Tomas Omama akiwasilisha Sekta ya madini hawatoi thamani ya
kutosha kutokana na mapato wanayopata japo bei ya dhahabu imeshuka katika soko
la dunia.
|
HABARI KWA UFUPI.
Kampuni ya CountryFactor ikishirikiana na
Kampuni ya Montage pia ya Tanzania wameandaa kongamano lililowakutanisha
Wakurugenzi wakuu wa mashirika mbalimbali Duniani ikiwa ni hatua ya kuangaalia fursa zaidi za uwekezaji.Mkutano huo wa uwekezaji Tanzania unaojulikana kama TanzInvest wanafanya majadiliano muhimu yatakayowezesha kuangalia fursa kubwa na ukuaji wa kiuchumi katika maeneo ambayo yamepewa kipaumbele kwa uwekezaji kwa uchumi wa Tanzania.
Kwa kiwango cha
ukuaji wa zaidi ya pato la taifa (GDP) ya 7% Pato la taifa kwa Tanzania inaonekana
kuwa ni moja ya nchi inayokuwa kwa kasi katika ukanda wa nchi za kusini mwa jsnges
la Sahara.
Kama moja ya maeneo
yenye umuhimu kuwekeza, kwa sasa serikali imechukua dhamana kubwa ya mpango wa
uchumu "Big Result Now Initiative" Tanzania imefungua milango kwa wawekezaji ili
kufikia mpango mkubwa wa Taifa wa Maendeleo na mapinduzi ya viwanda kufikia 2025,
mpango huu unalenga katika miradi ya viwandana maendeleo kwa ujumla.
Post a Comment