0
Mzee Samweli Sitta enzi za uhai wake.

Aliyekuwa spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania nne Mzee Samweli Sitta amefariki dunia akiwa katika matibabu nchini ujerumani usiku wa kumkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani,  Mzee Sitta alizaliwa Dsemba 18, 1942 wilayani Urambo mkoa wa Tabora.

Post a Comment

 
Top