0
Marehemu Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943

Habari za kushtusha kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi ameaga dunia.!

Taarifa rasmi zilizopatikana zinasema kuwa marehemu alipelekwa hospitali ya taifa Muhimbili akiwa ameshafariki, hivyo hospitali kufanya huduma ya kuhifadhi mwili sehemu inayopasa.

Mpaka sasa bado taarifa zilizopekekea kifo chake hazijatolewa na madaktari.


Post a Comment

 
Top