Wanahabari kutoka sehemu tofauti mikoa ya Tanzania bara wakimsikiliza mkufunzi wa mafunzo ya haki sawa katika umiliki wa rasilimali na uhuru katika maamuzi aliyepo kulia jijini Dar Es Salaam. |
HABARI KWA UFUPI
na Maisori Israel [0716 094 533]
Taasisis ya mtandao
wa jinsia TGNP –Mtandao inatoa mafunzo kwa wanahabari kutoka mikoani kuhusu haki
za kirahia na wanajamii wanaoshugulika na haki za binadamu, kupitia mafunzo
yaliyotolewa kupitia mwanaharakati wa kutetea haki za kinamama na watoto Bi Gema
Akilimali anasema kupitia wanajamii katika maeneo yao ambako ndiko kuna vituo
vya taarifa na maarifa.
Kuanzia hapo ndipo
habari au taarifa upewa nafasi ikiwa imebeba ujumbe fulani ukiwa na
umechunguzwa na kuonekana katika jamii haufai na ni mapungufu ya kijinsia,
katika hatua hiyo serikali imeridhia mikataba ya kimataifa kuondoa ubaguzi wa
kijinsia kupitia mikataba ya Umoja wa Mataifa (UN) ili kuendeleza usawa wa
kijinsia.
Post a Comment