ARUSHA.
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameinanga taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini (TAKUKURU) kwa kutokuwa na ubavu wa kusimamia majukumu yao yaliyoanishwa ya kufuatilia, kushugulilia fununu au taarifa zinazoletwa na wananchi kuhusu tukio lolote linalohusisha kutoa au kupokea rushwa.
Mbunge huyo machachari ambaye mara kadhaa amekuwa akikwaruza na baadhi ya taasisi hapa nchini kuhusiana na matamshi yake, ameongea hayo kutokana na taasisi hiyo kutupilia mbali ushahidi wao na Mbunge mwenzakeJoshua Nassari walioupeleka kwenye taasisi hiyo....
Post a Comment