0
MBEYA.
Mahafari ya kumi na tano ya taasisi ya Uhasibu (TIA) kwa kanda ya nyanda za juu kusini kituo cha Mbeya ikiunganisha Singida, Mwanza na Kigoma yafanyika kwa mafanikio ambapo wahitimu wa kozi mbalimbali wametunukiwa shahada zao ambapo mgeni rasmi Waziri wa fedha na Mipango ambaye amewakilishwa na Naibu katibu mkuu wa wizara hiyo, Suzana Mkapa.

Katika mahafari hayo wahitimu wapatao 1800 wametunukiwa vyeti vya awali, Shahada na Stashahada ya Uzamili katika fani mbalimbali kwenye Mahafali hayo kwa mwaka wa masomo 2016/17.

Akizungumza katika Mahafali hayo ya 15 ya Taasisi hiyo Afisa Mtendaji mkuu wa TIA Dkt. Joseph Kihanda amesema kati ya wahitimu hao wanawake ni 915 ambao ni sawa na asilimia 50.3 na wanaume ni 903 ambapo ni sawa na asilimia 49.7

Mkuu huyo wa Taasisi hiyo alizitaja fani ambazo zimetoa wahitimu kuwa ni pamoja na Uhasibu, Ununuzi na Ugavi, Uongozi wa Rasilimali watu, Usimamizi wa Ununuzi, uhusiano wa Umma na Uhasibu wa fedha za umma na Masoko.
Hizi hapa chini ni picha za matukio ambapo kamera ya TODAYS NEWS iliyanasa wakati wa sherehe hizo kutoka jiji Mbeya.

PHOTO: Maandamano kuelekea Chuo cha Elimu ya Uhasibu TIA jijini Mbyeya yakianza


PHOTO: Mwimbaji wa nyimbo za injiri nchini Ambwene Yesaya akirekebishwa joho, wakati wa maandamano.
PHOTO: Maandamano yakiingia chuoni na wakuu wa vitivo wakiwapokea wahitimu.

PHOTO: Wakuu wa chuo na mgeni rasmi Suzana Mkapa(wa tatu kutoka kulia)wakiimba wimbo wa taifa

PHOTO: Wakuu wa vitivo kutoka campus Mbeya, Singida, Mwanza na Kigoma wakiimba wimbo wa Taifa.
PHOTO: Waimbajiw wa nyimbo za Asili za Lizombe wakiimba na kucheza wakati wa kuanza kwa sherehe za mahafari hayo.

PHOTO: Afisa Mtendaji mkuu wa TIA Dr. Joseph Kihanda akimkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi sherehe za mahafari.

PHOTO: Mgeni rasmi ambaye ni naibu katibu katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango Suzana Mkapa akisoma hotuba wakati wa sherehe. 

PHOTO: Ambwene Yesaya akitumbuiza katika sherehe hizo.

PHOTO: Baadhi ya wananchi walifika kushuhudia ndugu, jamaa na marafiki wanaohitimu.

PHOTO: Mtendaji mkuu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania TIA Dr. joseph Kihando akiongea wakati wa shereh hizo.


PHOTO: Wahitimu wakifuatilia na kusikiliza mawahidha kutoka kwa Mtendaji mkuu wa TIA.(hayupo pichani)

PHOTO: Ndugu wa wahitimu waliofika kushuhufia wakipiga makofi kufurahia moja ya tukio lililotokea katika mahafari hayo.

PHOTO: Wachezaji wa ngoma za asili za Sindimba wakiimba katika sherehe hizo.

PHOTO: Mgeni rasmi (kulia) Suzana Mkapa. Mtendaji mkuu wa TIA Dr. Joseph Kihanda wakifuatilia tukio.

PHOTO: Sura za furaha katika sherehe za mahafari.

PHOTO: Mmoja wa wahitimu ambaye alipewa zawadi na cheti kutoka kwa mgeni rasmi naibu katibu mkuu wizara ya Fedha (kulia) Suzana Mkapa


 PHOTO JUU NA CHINI:Baadhi ya wahitimu wakila kiapo kabla ya kutunukiwa stashahada, Diploma, Gegree na vyeti.


PHOTO: Wakizaa kofia kama ishara ya kuhitimu Elimu ya Uhasibu.


PHOTO: Wahitimu wakipita kwa mgeni rasmi Suzana Mkapa kupewa mkono wa heri.

Post a Comment

 
Top