0
DAR ES SALAAM. 
Kampuni ya kuuza na kusambaza matairi na matela ya maloli aina ya Michelin yenye ofisi na magara ya kuhifadhia tairi iliyopo barabara ya Nyerere inateketea kwa moto hivi sasa,  na hapa chini ni picha na video  za tukio hilo.

VIDEO YA MAPEMA:
Mwandishi wa TODAYS NEWS alifika mapema katika tukio hilo na hii ilikuwa ni sehemu kwenye janga hilo. 


Sababu za moto na jumla ya fedha kwa mali iliyoungua bado hazijajulikana,  tutaendelea kukupa nini kimesababisha hapa hapa TNEWS






Moto huo ulianza majira ya saa 5 asububi na kuwaka kuteketeza eneo hilo mpaka majira ya saa 17:45 ulipopunguza makali na jitihada za makampu ya kuzima moto. 






Ilifikia wakati askari wa kikosi cha uokoaji cha zimamoto waliishiwa maji na kupata msaada kutoka kwa kampuni binafsi yakiwepo maloli ya watu binafsi yalifika kuleta maji. 



Picha: na mwandishi wa TODAYS NEWS

Post a Comment

 
Top