Jamii ni mkusanyiko wa watu mvalimbali wanaishi hama kufanya mambo yenye lengo chanya kwa mustakabali wa wakati huo waliojiwekea.
IMAGE: Hisia ujitwika dhamira ya kudhania jambo mabaya. |
Mara kadhaa watu wamekuwa wanaishi labda kwa kufuata kanuni au bora maisha yanasogea mbele ili mradi unajiwezesha, hali hii inatokana na muhusika kuamua kuishi vile anavyopenda ili mradi avunji taratibu.
Kati ya hayo kuna jambo la baadhi ya wanadamu kuangalia wenzao kwa mawazo hasi yasiyo endelevu, kutathimini kwa haraka analofanya pasi kuchunguza kujua nini kinafanyika.
IMAGE: Hisia ubadirika baada ya kugundua sicho alichodhania. |
Hali hii inaweza kuwa giza kwa mtazamaji endapo hata kuwa makini kwa anayemtazama ili kumpa credit njema hama ushauli kwa analofanya.
Shaka ni njema ila ukiweza kuondoa shaka inaweza kuwa elimu kutokana na kuthibitisha maisha na kanuni ya maisha yanayoonekana miongoni mwa wengine.
Post a Comment