0
ARUSHA.
Mama ambaye jina lake halikuweza kupatikana mapema amegongwa na gari lenye namba za usajili T 931CUG aina ya subaru alipokuwa akivuka barabara kutoka, gari ilo lililokuwa na mwendo mkali  likiendeshwa na kijana aliyefahamika kwa majina ya Alfa Minja. 

Katika ajali hiyo iliyotokea karibu na uwanja wa sheikh Amri Abeid jijini Arusha alasiri ya leo (jana), iligubikwa na fujo kutoka kwa wananchi waliokuwa wakitaka kumpa adhabu ya hapo kwa hapo kijana aliyekuwa akiendesha vari hilo mpaka pale alipolazimishwa na raia kumchukua raia aliyemgonga kwa gari alilokuwa akiendesha ili kumpeleka hospitali. 

Baadaye kijana aliyesababisha ajali hiyo aliweza kulazimishwa kumpeleka hospitali kutokana na gadhabu ya wananchi, ambapo ilibidi kupitia polisi kwa ajili ya kupewa pf3 ili aweze kupokelewa hospitali aliyopelekwa ya mount meru. 

Hapa chini tumekuwekea baadhi ya matukio katika picha Kutoka eneo la tukio.... 







Post a Comment

 
Top