DAR ES SALAAM.
Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba Tanzania Hebron
Mwakagenda amesema kuwa Jukwaa la katiba Tanzania linaendelea kufuatilia kwa
umakini mkubwa namna serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza masuala muhimu ya
kitaifa chini ya uongozi wa Mhe. Dkt John Pombe Magufuri.
Taarifa yake kamili hii hapa...
Post a Comment