Leo ikiwa ni siku ya
figo duniani Madaktari bingwa kutoka hospitali ya KCMC Kilimanjaro wametoa
huduma ya kupima Afya kwa ujumla ikiwa ni katika kuadhimisha siku hii ambapo
katika utoaji wa huduma hiyo kwa jamii wamefanya zoezi hili kupitia wafanyakazi
na wadau wa mfuko wa hifadhi ya Jamii PPF katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa AICC jijini Arusha wakati Shirika la mifuko ya hifadhi ya Jamii PPF
likifanya mkutano wake wa 26 wa wanachama na wadau wa PPF.
Madaktari akimtoa damu kwa ajili ya kupewa huduma ya vipimo mmoja wa wananchi siku ya figo duniani.
Madaktari wakitoa huduma kwa wananchi.
Daktari Bingwa wa
magonjwa ya moyo na figo, Huda Akabi anasema mfumo wa maisha
unachangia katika kuwafanya watu kupata magonjwa haya hali inayosababishwa na
watu kubadili maisha. Lakini matumizi ya dawa
Hapa chini ni habari kamili
kuhusu utolewaji wa huduma hiyo kupitia habari video....
Post a Comment