0
Mafunzo ya kuangalia namna ya kukinga ubadhilifu na upotevu wa fedha za wananchi kupitia maeneo hatariahi na zile zilizopo serikalini hasa katika halmashaili zote nchini yanaendelea jijini Arusha ikiwa ni muendelezo wa mafunzo yanayotazamkwa kutokewa nchi kote kupitia kanda maalum zilizozopo. 

Katika maojiano maalum na TODAYS NEWS wakufunzi (Champions) na washiriki wa mafunzo hayo wamekuwa na hisia tofauti juu ya kile wanachopata kupitia mafunzo hayo ambayo moja ya topic inagusia handbooks sets. 

Hii hapa taarifa kamili kupitia video :


Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top