![]() |
| PROFILE PHOTO: Waziri Nape Nnauye |
Waziri wa habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kesho anatarajia kulitolea
ufafanuzi sakata lilipo kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa na linalogusa wadau
wa habari kuhusu kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kwenda
katika studio hizo na kuzua utata, nini kilisababisha
Katika taarifa yake
ambayo TODAYS NEWS tumeipata Nape alisema "Kesho asubuhi kama waziri mwenye dhamana
na Habari nitatembelea Clouds Media kujua kilichotokea, nawaomba waandishi wa
habari kote nchini kutulia".
Moja ya update ni hii hapa niliyoipata:
Stori zaidi kuhusu kilichojili ingia hapa:
UPDATED: kilichotokea Clouds Media habari za ndani ni..
https://todayspro.blogspot.com/2017/03/up-dates-kilichotokea-clouds-media.html


Post a Comment