0
Basi la kampuni ya Mombasa Raha II inalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Shinyanga to Simiyu limepata ajali mapema asubuhi huko wilayani Mbogwe na kuua Dereva wa basi hilo aliyejulikana kwa jina moja Mlingwa.

Habari zaidi zinasema dereva wa basi alikuwa akijaribu kulipita gari lingine na mbele kulikuwa na kona ambapo upande huo aliokuwa analipita gari kulikuwa na gari pick up ikija ndipo wakakutqna na kugongana.







Source: shuhuda aliyepo eneo la tukio. 

Post a Comment

 
Top