Watanzania wengi ambao ni wafuatiliaji wa siasa za nchi hii na hasa bunge, kwenye mijadala mbalimbali mtakuwa mnakumbuka michango ya mama Malecela kutokana na kuwa wazi kwa lile analolisimamia pale anapotaka kuliwasilisha.
Taarifa kamili iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais inasema Anne Malecela ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za bunge na taarifa kamili nakuwekea hapa chini;
Post a Comment