Hiyo
ni sehemu ya maisha yanayoendelea hapa duniani na unaweza kusema dunia
imekwisha hama lah! Ila ni hali halisi inayotokea hapahapa chini ya jua.
UGANDA.
Dunia
ndiyo sehemu salama inayoonekana kwa binadamu kuweza kuishi huku kukiwa na
utegemeano wa kila kitu, mfano binadamu anategemea kupata chakula kutokana na
mimea na baadhi ya wanyama, huku mimea ikitegemea chakula kutoka kwa binadamu
na wanyama pia wakitegemea kutoka kwa binadamu na mimea.
Lakini hali hiyo
imekuwepo na imedumu kwa miongo kadhaa sasa huku mabadiriko ya kimaumbile na
vimelea vya utu vikibadirika kutokana na mazingira ikiwemo chembechembe (tunaweza
kusema hivyo) ya baadhi ya wanyama kuhamia kwa binadamu kutokana na hali
kubadirika na kupelekea binadamu kumla binadamu mwenzake.
Nchini Uganda maisha ya
wananchi wa maeneo kadhaa ya nchi hiyo yamekuwa hatarini huku wakiishi kwa hofu
kutokana na kuliwa na binadamu wenzao hasa wananchi wanaokuwa safarini au
wakimbizi, matukio kadhaa yamejiri.
Hii hapa chini ni taarifa kamili kutoka Uganda na nimekuwekea katika mfumo wa video hapa:
Post a Comment