Waokoaji waliokuwa wakiendelea kuwatafuta wachimbaji waliofukiwa na kifusi katika machimbo kwenye mgodi wa RZ huko Geita wamefanikiwa kuwaokoa wachimbaji hao.
Hapa chini tunakuwekea picha kadhaa wakati wakitolewa katika mashimo hayo ambapo mmoja wa wachimbaji hao ni jamaa mmoja raia wa china.
 |
| Wachimbaji wakiendelea kutolewa shimoni mapema leo katika mgodi wa RZ uliopo karibu na machimbo ya nyarugusu mkoani Geita. |
 |
| Baadhi ya waliokuwa Wamefukiwa wakipewa huduma ya kwanza kutokana na hali mbaya ya hewa ikiwemo na kukosa chakula waliyokuwa nayo chini ya aridhi... |
 |
| Picha juu∆ Raia wa china ambaye naye alikuwemo katika shimo la mgodi huo akipewa msaada mara baada ya kuokolewa. |
Post a Comment