Rais John Pombe Magufuri amefanya uteuzi wa Kamishina wa mamlaka ya mapato nchini, huku nafasi hiyo ya kuongoza mamlaka inayosimamia ukusanyaji wa kodi nchini (TRA) akikabidhiwa ndugu Charles E. Kichere ambaye anaanza kazi mara moja baada ya kuteuliwa.
Taarifa kamiri hii hapa chini kama inavyosomeka imetolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais mapema leo.
Post a Comment